MR MLAWA
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 304
- 507
Nahitaji kupata machimbo yanayouza madaftari aina zote kwa bei za jumla Dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kuku wa kienyeji wa iyo bei Mkuu, ukiongeza hela tutafanya biashara ila iyo bei ni ya buloiler buguruni sokoni
Ok, tufanye biashara.
Nahitaj kuku(jogoo&tetea) 50 kwanza kwa TZS 7,500/=@.
Naomba npate connection na ya biashara ya viatu na urembo kwa mtu alyeko dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hiyo ni issue personal,ulimpa laki 3 kwa makubaliano gani?Aise kuna mwanamke mmoja namdai laki tatu yangu ananipiga chenga za mwili mnaweza nisaidiaje?
Makubaliano sii arudishe bwana sasa makubaliano ya kukupesha a yanakuwajeMkuu mbona hiyo ni issue personal,ulimpa laki 3 kwa makubaliano gani?
Ni nani kwako mkuu?yaani mmefahamianajeMakubaliano sii arudishe bwana sasa makubaliano ya kukupesha a yanakuwaje
Nipo hapaNAHITAJI MTENGENEZA MATANGAZO MADOGO, YA POWERPOINT KWAAJILI YA MITANDAONI
NICHEKI HAPA [emoji3596] [emoji3596][emoji3596]
Upo wap nikuuzie used kwa bei poaNatafuta mashine ya mkono (manual) ya kutengeneza matofari ya kujengea na pia iwe na njia mbadala wa kutengeneza vile vitofari vidogo (pavement)
Ila shaka unaagiza mwenyewe?![emoji3581]Blender nzuri za Silver Crest Heavy duty
[emoji3581]Jagi moja
[emoji91]Bei 70,000 per piece
[emoji3581]Delivery tunafanya kwa garama za mteja
[emoji3581]Mikoani tunatuna kwa uaminifu sana
[emoji3581]Ofisi zipo Manzese Argentina
[emoji3581]Mawasiliano:0762370433/0714483172
Karibuni sanaView attachment 2418747
Ndio naagiza mwenyewe boss. Karibu tuwasiliane 0762370433B
Ila shaka unaagiza mwenyewe?!