Nasikia hivi vidude havitengenezwiNatafuta Machine ya kutengeneza hivi vidude.
Upo wapi???Nauza asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya jumla na rejareja karibuni
Beef fillet bei gan kwa kiloNiko dar nauza beef fillet elf12 na nundu elf 10 cash on delivery na atakayenipatia tenda ntamtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utahitaji dengu, njugumawe, ufuta, mahindi uwele Iriki na vitunguu nicheki mkuuNinapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.
Pilipili manga unazo?Kama utahitaji dengu, njugumawe, ufuta, mahindi uwele Iriki na vitunguu nicheki mkuu
Bado unauza filletNiko dar nauza beef fillet elf12 na nundu elf 10 cash on delivery na atakayenipatia tenda ntamtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dengu na njugumawe unauzaje kwa kilo??Kama utahitaji dengu, njugumawe, ufuta, mahindi uwele Iriki na vitunguu nicheki mkuu