Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Popote pale ulipo, fanya biashara pata maisha. Nnawaombea mafanikio mema.

Ukiwa bado unajitafuta na ukataka kuongeza wigo wa wateja Tanzania na dunia nzima kupitia majarida na mtandao basi karibu sana

Humu utakutana na wajasiriamali wenzio tutaongea mambo yetu na kuchapisha makala zinazotuhusu (blogs na magazine)

Utakuwa na duka lako mtandaoni utakapopanga bidhaa zako, bei zako na kuzielezea.

Utajibu maswali na comments za wateja (reviews)

Kiufupi ni kama umejisajili maonyesho ya nanenane ya mtandaoni ya siku zote. Bure bilashi!
Mjasiriamali anawezaje kuingia humu?

#YNWA
 

Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Natafuta kibanda kilichopo dodoma kwaajili ya kufanyia miamala ya simu plus miamala ya bank.

Yeyote mwenye hii connection nahitaji wakuu.
 
Habari, endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nami.

Pia kwa wafanyabiasha tunafanya huduma ya kusaidia na kushughuliak na masuala yote ya kodi na yanayohusu TRA kama vile;
🔥Kufanya ritani zote za kodi
🔥 Kuitikia wito wa TRA kwa niaba yako
🔥Kufanya ama kusaidia kufanya maridhiano ya kodi (tax reconciliation)
🔥Kutoa ushauri wa jumla wa masuala ya kodi kwa mfanya biashara na kuwa mlezi wa masuala yote ya Compliance ya biashara yako.

+255755963775 calls/WhatsApp
Unafaa sanaaa.
Nimefungua kampuni.
Natunza hii kwa matumizi yangu ya baadae.

#YNWA
 
Kwa yeyote anayejua soko la chupa take away K vant, konyagi, henken, Windhoek,bavaria,badwiser,dompo na aina nyingine yoyote anisaidie connection kwani ninazo za kutosha tatizo soko,0759656557/0775358586
Nilishawahi kupata wazo la kuzi recycle hizi chupa..!!!

#YNWA
 
Mwenye kampuni ya building kuanzia class 5 na civil kuanzia class 4 tuwasiliane mapema sana kuna kazi zinataka mkandarasi haraka.
 
Nahitaji mtu wa kushirikiana naye nimefungu kampuni inayojihusisha na ujenzi (Building Contractors) pamoja na vifaa tiba (Supply, installation , repairing and maintenance of medical equipment)

Nahitaji mtu wa kushirikiana naye ku clear baadhi ya mahutaji , nguvu ya pekee yangu imekuwa ndogo.

nina uzoefu sana katika kutengeneza links mpya za kuweza kutupatia tenders hususani hizi za serikali.

Kwa yeyote aliye tiyari tutaingia makubaliano ya kisheria ya namna tutakavyogawana faida ya mwisho.

napatikana kwa namba 0675703608 (whatsapp na hata mawasiliano ya kawaida pia)
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom