Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa mahitaji ya maua aina zote na kutengenezewa garden View attachment 2887118View attachment 2887119View attachment 2887120View attachment 2887121View attachment 2887122View attachment 2887123View attachment 2887124
IMG_20230604_165441.jpg

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Habari za majukumu wana JF.
Naomba niwape fursa (promotion price) kwa itakaowafaa
Tunafanya biashara ya saa (jumla) na tupo kariakoo - Dar es Salaam.
Leo nina fursa kwa vijana wapambanaji na yeyote mwenye uwezo na nafasi ya kuuza saa kwa maeneo alipo
Tuna saa za aina tofauti za seli ambazo tunauza kwa bei ya ofa kuanzia sh. 1000 hadi 1500
(Seli maana yake ni zile bidhaa ambazo utokaji wake umekua sio wa haraka hivyo tunafanya maamuzi ya kuzitoa stoo ili ziachie nafasi ya bidhaa nyingine kukaa, hii sio kwa saa tu inaweza kuwa seli ya vyombo nguo n.k)
Sisi tunazo saa za chuma (kiume na kike), tuna za plastic (kiume na kike pia) ambazo badala ya bei yake halisi ya 3500 hadi 4000 (kwa jumla), sasa tunaziuza kwa 1000 hadi 1500.
Ni saa ambazo ukichukua pc hata 200 hautachukua muda kuzimaliza endapo na wewe pia utakwenda kuuza kwa bei rafiki (promotion) kama ulivyonunua.
Mfano saa za sh. 1000 na 1500 unaweza kuuza kwa kwa sh. 2000 kila moja ili mzigo ukimbie haraka na uweze kuchukua mwingine.
Ninawahakikishia hii ni zaidi ya fursa maana saa hizi za promotion zina utokaji mzuri sana haswa ukienda kuuza maeneo ya mkusanyiko kama sokoni, shuleni, stand n.k
TUPO KARIAKOO, PIA TUNATUMA MIKOANI. karibuni sana.
# 0699669515 [emoji338]
 
Ungeek hata sample ya hiz saa ili utushawishi kukutafut
 
Habari, endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nami.

Pia kwa wafanyabiasha tunafanya huduma ya kusaidia na kushughuliak na masuala yote ya kodi na yanayohusu TRA kama vile;
🔥Kufanya ritani zote za kodi
🔥 Kuitikia wito wa TRA kwa niaba yako
🔥Kufanya ama kusaidia kufanya maridhiano ya kodi (tax reconciliation)
🔥Kutoa ushauri wa jumla wa masuala ya kodi kwa mfanya biashara na kuwa mlezi wa masuala yote ya Compliance ya biashara yako.

+255755963775 calls/WhatsApp
 
HABARI,
NAUZA MACHINE YANGU EXCAVATOR EX60 HITACHI NI NZIMA NA INAFANYA KAZI BEI YA KUTUPA 12 MILLION,ALIYE SERIOUS NITAMPATIA CONNECTION YA KAZI KARIBIA KILA SIKU INAITAJI SERVICE NA PIPES ZA KUBADILISHA.NJOO NA FUNDI WAKO TUKUWASHIE
20240107_165551.jpg
20240107_165734.jpg
20240107_165757.jpg
20240107_165813.jpg
20240107_165456.jpg
 
Natafuta connection ya Investor ambaye atakuwa anawekeza hela za kuwalipa mafundi na kununua materials pindi tender ikipatikana. Faida itagawanywa kulingana na kazi husika.

Mawasiliano (Whatsap): 0652448233
 
Tunapatikana:

Office number 121, Ground floor

Jengo la “White Beach Park” building, Tanki Bovu,

Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.

Social Media Banner.jpeg
 
Back
Top Bottom