mindchaser
Member
- Nov 14, 2020
- 49
- 17
Kilo 1900Ofa yako ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilo 1900Ofa yako ni ipi?
Kaka una penda kitonga😄😄, ps 3 SI laki 3 na 50 usedPS3 NANUNUA 150000 PS4 400000
DAR kubwa San na kingin Kodi za bei hio ndan mitaan ndan ndan kidg lkn sio barabara kubwa. Sehm nyng kwny barbar kubw Kodi kuanzia laki Hadi laki 3 na kuendeleaNahitaji fremu ya biashara Dar kodi iwe 30000-50000
Ungeek hata sample ya hiz saa ili utushawishi kukutafutHabari za majukumu wana JF.
Naomba niwape fursa (promotion price) kwa itakaowafaa
Tunafanya biashara ya saa (jumla) na tupo kariakoo - Dar es Salaam.
Leo nina fursa kwa vijana wapambanaji na yeyote mwenye uwezo na nafasi ya kuuza saa kwa maeneo alipo
Tuna saa za aina tofauti za seli ambazo tunauza kwa bei ya ofa kuanzia sh. 1000 hadi 1500
(Seli maana yake ni zile bidhaa ambazo utokaji wake umekua sio wa haraka hivyo tunafanya maamuzi ya kuzitoa stoo ili ziachie nafasi ya bidhaa nyingine kukaa, hii sio kwa saa tu inaweza kuwa seli ya vyombo nguo n.k)
Sisi tunazo saa za chuma (kiume na kike), tuna za plastic (kiume na kike pia) ambazo badala ya bei yake halisi ya 3500 hadi 4000 (kwa jumla), sasa tunaziuza kwa 1000 hadi 1500.
Ni saa ambazo ukichukua pc hata 200 hautachukua muda kuzimaliza endapo na wewe pia utakwenda kuuza kwa bei rafiki (promotion) kama ulivyonunua.
Mfano saa za sh. 1000 na 1500 unaweza kuuza kwa kwa sh. 2000 kila moja ili mzigo ukimbie haraka na uweze kuchukua mwingine.
Ninawahakikishia hii ni zaidi ya fursa maana saa hizi za promotion zina utokaji mzuri sana haswa ukienda kuuza maeneo ya mkusanyiko kama sokoni, shuleni, stand n.k
TUPO KARIAKOO, PIA TUNATUMA MIKOANI. karibuni sana.
# 0699669515 [emoji338]
Mkuu mim pia nipo Arusha ,tunaweza kutafutana?Kabla sijaja huko.
Mimi na mipaina mbao laini hususani nazitoa na nipo njombe Mkuu.
Ngumu nina gravelea ipo arusha sanawari.
Tuyajenge hapa hapa wengine waone boss.
Sent using Jamii Forums mobile app