Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

[emoji95] Brand New[emoji95]
[emoji617]Nokia 105 original[emoji736]
[emoji617]Batter 1200mAh[emoji736]
[emoji617]Full box[emoji736]
[emoji617] Bei 25000/=rejareja [emoji736]
[emoji617]Jumla 23000/=[emoji736]
[emoji617]No:+255788906890[emoji736]
[emoji95]Mikoani tunatuma[emoji736]
[emoji95] Delivery ipo [emoji1666]
IMG_20230724_075124_186.jpg
 
Tatizo humu jf kuna kebehi na dharau ila Mwana FA ndio maana mstari wake"Ipo siku utaniheshimu mimi ama utaheshimu ela zangu.Kabla ya kuwa mheshimiwa kwa watu wenye kebehi na dharau.
 
Naomba kupata connection ya kuuza safari bags Kama hizi zangu za mtumba
 
Attachments

  • Screenshot_20230725-223119.png
    Screenshot_20230725-223119.png
    280.8 KB · Views: 47
Nataka connection ya kuuza rim paper size ya A4 gm 80 yeyote anayehitaji aje inbox nakutumia pia mkoani mawasiliano yangu 0789386320.
 
Sisi Tunauza laptop & desktop pamoja na vifaa vyake tupo Dar es salaam kariakoo mtaa wa aggrey na likoma

Tuna laptop nzuri za kuanzia laki 3 na kuendelea kwa MAWASILIANO PIGA SIMU
0652 565 597
e64ef34b-f0b2-40ec-a730-084b32c9d674.jpg

5bd5d5e1-547c-46cf-9960-2bb5b961aba3.jpg

fd7e8afe-aab6-4336-96f0-14579094717c.jpg

33fef682-2a48-466e-bff5-bae3601ccb88.jpg

0af7c0f1-fe76-41ad-903f-fff5124cb6b2.jpg

IMG_0775.jpg

IMG_0456.jpg
 
Tunatoa Huduma zetu kwa ufanisi mkubwa na kwa bei nafuu!

Karibuni Sana.
Tunapatikana Jengo la White beach park, Tanki Bovu, Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania

Social Media Banner.jpg
 
Habarini MABOSS zangu napenda kuwaletea hii. Fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana wadau WhatsApp+255765018958
 
Mikoani je
 
Mwenye kujua sehemu ya kuvipata hivi vifaa, vinatumika kitengenezea mashelfu ukitani..
ef2472dcc83226808276d2b587e7d3f4.jpg
2aa962b321a8b1ff20315c47bc7120a4.jpg
9f3ecc2f15c3b850181b79906bdac3b2.jpg
 
Back
Top Bottom