Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Asali ni OG ama ni zile asili guru?
mimi nipo tabora nauza Asali ya nyuki wa kubwa na wadogo
asali ya nyuki wa kubwa lita moja elfu kumi na mbili(12,000)
nyuki wadogo lita elfu ishirini na mbili (22,000)
mawasiliano : 0762895337
 
Nahitaji vijana wanaojua kufyatua matofari vizuri Sana kwa kutumia mashine inayotoa tofari 2.kazi buza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…