Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ni kweli unayoyasema. Moja ya tatizo kifika mlimba ni barabara hasa kipindi cha masika huwaga ni utata ila treni inasaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli barabara ni tatizo kubwa mlimba kwa mfano ni wiki ya pili sasa malori hayatembei barabara imejaa tope,Yani Hadi bidhaa nyingi zimeanza kuadimika ila treni ndio mkombozi
 
Ni Kirando Mkuu!! Mwambao wa ziwa Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wa mavuno huko ni mwezi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba msaada wa connection au kujua bei za vitu vifuatavyo. (Nimetumwa kuuliza)

1. Mashine ya kupukuchua mahindi inayotumia mafuta.
2. Mashine ya kupiga mpunga inayotumia mafuta.
3. Mashine ya kupiga mtama,uwele,ulezi na alizeti inayotumia mafuta.
4. Bei ya ng'ombe wa Boran saizi zote (dume kubwa, jike na ndama)
5. Bei ya kukodi Fuso Tandam au scania ya tani26 toka Songea au Rukwa kuja Dar.
6. Bei ya mashine ya kukoboa mpunga ili uwe mchele za aina zote pia za kugrade mchele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…