Mwenye connection kazi za
- data analysis kutumia Ms excell, spss.
-data collection.
-data entry.
-Monitoring and evaluation.
-Project Management.
Nina bachelor degree of science in Statistics.
Nina leseni hai ya udereva class C1, C2 na E.
Cheti cha Mafunzo kutoka VETA.
Nina skills za Social Media Marketing.
Ninaskills na uzoefu wa Sales and Marketing.
Experience yangu miaka 5 katika usimamizi na uanzishwaji wa Miradi.
Achievement zangu;-
Kuanzisha na kufanikisha Mradi Mpya ambao umetoa ajira ya Permanent kwa watu wawili.
Kusimamia mradi wa Mil 150.
Kuongeza turn over ya mradi kutoka Mil 36 per month mpaka Mil 45 katika kipindi kigumu.
Pia kwa nyongeza nafanya Photography na editing,hii ni hobby yangu.
Ninafanya sales and Marketing.
Currently ninajishughulisha na Photography kwa kuwa ndo inanilipia bill sio chini ya 250k per month.
Mwenye ushauri, maoni, connection anifuate PM.Kama ni Maswali niulize hapa hapa Jamvini.