King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Asante snaa... kumbe pale kiwandan huwa wanauza,ntaenda kufunga mzgokhanga nenda urafiki kiwandani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante snaa... kumbe pale kiwandan huwa wanauza,ntaenda kufunga mzgokhanga nenda urafiki kiwandani
Hi. Nilisema nauza soya. Kilo sh. 1,300 kwa kilo. Imebaki tani mbili yaani kilo 2000. Soya ipo Iringa mjiniUnahitaji kiasi gani
Mkuu ndio sina kazi hadi leo nimesha ku pmSina connection nimemaanisha mtoa mada kama bado hana kazi hadileo ani PM tuongee.
NichekiNatafuta Duka wanalouza gps tracking device zile zinazotumia sim card kwa ajili ya pikipiki na magari
Noma mkuu hata kupata nafasi ya kujitolea tu yaaani bure haulipwi chochote nimetafuta weeeeh nimeomba weee dah imebidi nitulie tu sasa nikiamini zamu yangu itafika pia.Daaahh, mchawi wa kazi siku hizi ni connection, taaluma imekuwa ni kigezo cha ziada. Mungu tusaidie katika utafutaji wa mkate wa kila siku.
Elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini-SUA. Ujuzi wangu haswa ni kazi za field (field officer), utathmini wa miradi, udodosaji nk.Mkuu usichoke elezea ajira/kazi au tenda ipi , connection utapata tu
Mkuu nawezaje kuanza biashara hiiUnahitaji kiasi gani, kwa Dodoma (hasa Chemba na Kondoa) huu ndio msimu wa mavuno ya Alizeti, na kwasasa gunia ni 35,000/- mpaka 40,000/-. Gunia kwa kadirio la chini inatoa Lita 20 ukikoboa na kuchuja.
Mkuu nawezaje kuanza biashara hii
Nipo geita naomba maarifa kidogo
Hapana Sina na Mimi nayatafuta mkuuKama unayo naoma unicheki pm man
hata kupata nafasi ya kujitolea tu yaaani bure haulipwi chochote nimetafuta weeeeh nimeomba weee dah imebidi nitulie tu sasa nikiamini zamu yangu itafika pia.
Nimeomba kujitolea for almost 2 years sasa nmekosa.
Please[emoji120]
I do believe ni suala la muda tu mkuu, ipo siku yetu pia.I can feel your pain...
Ni kweli.. Kikubwa ni kutokata tamaa.I do believe ni suala la muda tu mkuu, ipo siku yetu pia.