Habari
Mimi nahitaji mtu ambae ana uzoefu/uwezo mkubwa kwenye computer softwares na hardware kiasi chake sababu nimefungua ofisi na inahitaji mtu wa kuisimamia na kupiga kazi.
Ofisi ni mpya kabisa na ipo mazingira mazuri ya kibiashara.
Ofisi inahsuka na kutatua changamoto za wateja zinahusu computer zao au mahitaji mengine ynayoweza tatuliwa na mtu wa IT
Awe anajua sana softwares na hardware za computer, graphics designs, web designs etc
Mshahara tutajadiliana.
Awe tayari kufanya kazi mkoa wa Tabora
Accomodation na chakula vyote kwangu kwa kuanzia mpk utakapoona inafaa kuhamia kwako.
Ni-PM kama unaweza au unanfahamu mtu mwenye sifa hizo.
NB: Vyeti sio issue kabisa, tunachotaka ni uwezo wa mtu. Be ready for a stressed interview, mtu ambae sio hapo hawezi katiza.
Asante