Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Fursa hiyo
ajiraleotanzania_20200610_2.jpg
 
Habarini wakuu,
Mwenye connection wakuu..
Elimu:-
1.Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development
2.Diploma in Cooperative Management and Accounting
3.Certificate in Management and Accounting
Nina uzoefu wa miezi takriban mitatu kwenye SACCOS
 
Wakuu,naombeni mwenye connection anisaidie kazi yeyote nafanya.

Elimu yangu ni shahada ya uwalimu wa masomo ya sanaa yaani history na English.
Mahari popote nafanyia kazi pia sibagui kazi .
 
Habari
Mimi nahitaji mtu ambae ana uzoefu/uwezo mkubwa kwenye computer softwares na hardware kiasi chake sababu nimefungua ofisi na inahitaji mtu wa kuisimamia na kupiga kazi.
Ofisi ni mpya kabisa na ipo mazingira mazuri ya kibiashara.
Ofisi inahsuka na kutatua changamoto za wateja zinahusu computer zao au mahitaji mengine ynayoweza tatuliwa na mtu wa IT
Awe anajua sana softwares na hardware za computer, graphics designs, web designs etc
Mshahara tutajadiliana.
Awe tayari kufanya kazi mkoa wa Tabora
Accomodation na chakula vyote kwangu kwa kuanzia mpk utakapoona inafaa kuhamia kwako.
Ni-PM kama unaweza au unanfahamu mtu mwenye sifa hizo.
NB: Vyeti sio issue kabisa, tunachotaka ni uwezo wa mtu. Be ready for a stressed interview, mtu ambae sio hapo hawezi katiza.
Asante
 
Back
Top Bottom