Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

NJOO TUFANYE KAZI
Nahitaji mtu naejua kuandika makala nzuri kwajili ya video za mtandaoni,kama unaweza naomba uje PM.

VIGEZO
Uwezo mkubwa wa kuandika makala kwa kutafuta information sahihi na za ndani sana kuhusu matukio yaliyowahi kutokea duniani mfano vita ya kwanza ya dunia n.k au vitu vinavyoshangaza duniani mfano masanamu makubwa,majengo ya kushangaza na vitu mbalimbali vyenye historia ya kushangaza ikiwemo historia za watu waliofanya matukio konki.

NB:wazee wa "dizaini kama au ama nene" hawahitajiki.
 
kwa mahitaji ya vioo vya TV led kuanzia nchi 32 na kuendelea pamoja na kufungiwa nicheki PM
tunafanya CCTV installation
electronic fance
PM ipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…