Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa mtaji wa 2m naweza kufanya biashara gani hapa Dar es Salaam ambayo ntapata faida kati ya elfu 10 mpaka 20?
Bodaboda sitaki.
fanya biashara ya mbuzi
nunua tanga huko uzia vingunguti na tafuta wateja wa kwenye mabaa

Biashara nzuri ukitulia nayo na ukiwa ba eneo la kuwahifadhia.

Mbuzi mmoja anaeza kukupa elfu 50 na zaidi, zidisha kwa 10 hapo...
 
Mi natafuta bada la kufanyia biashara liwe sehemu iliyochangamka
Nataka kuuza mayai jumla na rejareja kwa wingi sana
Viazi mbatata
Vitunguu maji na swaumu na vitu vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…