Malthiersz
Member
- May 2, 2017
- 9
- 8
Kiwanda unachotaka ni kikubwa au kidogo? Kuna baba hapa mtaani ana kiwanda cha mabag na mikoba.
Ni kiwanda kidogo tu.
[/QUOTYupo wapi? Na ninaweza pata mawasiliano yake tafadhari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanda unachotaka ni kikubwa au kidogo? Kuna baba hapa mtaani ana kiwanda cha mabag na mikoba.
Ni kiwanda kidogo tu.
[/QUOTYupo wapi? Na ninaweza pata mawasiliano yake tafadhari?
Bwana shafii, bei ya hao kuku ni shilingi ngapi nijue najipangaje?Naitwa shafii hemedi nipo handeni tanga umri miaka 28 elimu yangu n secondary. Natafuta mtu ambaye naweza kufanya nae biashara ya kuku mwenye kujua masoko kazi yangu mimi itakuwa n kukusanya mzigo maporini. Shukrani wakuu.
Kila siku isipokuwa j2wakuu je ilala boma wanafungua belo za nguo kila siku au wanasiku maalum?
Wacha kutesekaHuyo kwenye avatar ni wewe my dear.
Wacha kuteseka
Picha za sample mkuu hasa hio ya 1250Nauza mchele kwa Bei ya mkulima..
Mchele wangu Bei inatofautiana kulingana na ubora na aina ya mchele.
Kuna wa sh 1,250
Kuna wa sh 1,350
Kuna wa sh 1,500
Kuna wa sh 1750
Hzo Bei ni kwa kg 1.
Sifa za mchele wangu.
-Mchele mpya (hauna kiaharufu cha store)
-Mtamu
-Unang'aa
-Haujafanyiwa maujanja (kupakwa mafuta) kitu ni original
-hauna uchafu (pumba, mawe,chuya)
Napatikana dar,mchele wangu nauza kwa order maalumu (muuzaji ni mkulima sio mangi)...so una place order then tunakubaliana nakuletea mzigo.
Napokea order ya kuanzia kg 5,10,20 na kuendelea.
Sample naweza nkakukutumia kama utaitaji kujiridhisha zaidi.
Huo apoPicha za sample mkuu hasa hio ya 1250
Picha ya mchele wa 1,500 tafadhali. Na vipi mikoani unatuma?Huo apo
Picha ya mchele wa 1,500 tafadhali. Na vipi mikoani unatuma?
Huu sh 1,750 per kgHapana mkuu mkoani bado sijaanza kutuma labda gharama na risks yoyote itakayo tokea iwe juu...
upo dar sehm gani? chenga pia unazo?Huo apo
kuna mjumbe mmoja anauliza hapa huu mchele ni wa mkoa gan?Nauza mchele kwa Bei ya mkulima..
Mchele wangu Bei inatofautiana kulingana na ubora na aina ya mchele.
Kuna wa sh 1,250
Kuna wa sh 1,350
Kuna wa sh 1,500
Kuna wa sh 1750
Hzo Bei ni kwa kg 1.
Sifa za mchele wangu.
-Mchele mpya (hauna kiaharufu cha store)
-Mtamu
-Unang'aa
-Haujafanyiwa maujanja (kupakwa mafuta) kitu ni original
-hauna uchafu (pumba, mawe,chuya)
Napatikana dar,mchele wangu nauza kwa order maalumu (muuzaji ni mkulima sio mangi)...so una place order then tunakubaliana nakuletea mzigo.
Napokea order ya kuanzia kg 5,10,20 na kuendelea.
Sample naweza nkakukutumia kama utaitaji kujiridhisha zaidi.
Pia ni mtamu mkuumzuri sana mkuu
Npo kwa azz Alli mkuu...japo sina ofisi huwa naleta kwa order,chenga sina mkuu?upo dar sehm gani? chenga pia unazo?
Morogoro-kilomberokuna mjumbe mmoja anauliza hapa huu mchele ni wa mkoa gan?