mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Upo wapi?Ninauza dagaa wa kukaanga toka mwanza ndoo/debe 30000, karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wapi?Ninauza dagaa wa kukaanga toka mwanza ndoo/debe 30000, karibuni.
Nipo mwanzaUpo wapi?
Mkuu upo wapi?Ninauza dagaa wa kukaanga toka mwanza ndoo/debe 30000, karibuni.
Hiyo ni Ile ndoo kubwa au ni ndoo ndogoNinauza dagaa wa kukaanga toka mwanza ndoo/debe 30000, karibuni.
Ni ndoo kubwa mkuuHiyo ni Ile ndoo kubwa au ni ndoo ndogo
Mzigo huko unakufikia ndio kwa bus sasa fee kwa makadirio ni kuanzia 10000 usafiri. KaribuMkuu upo wapi?
Ok nimeona upo mwanza vipi mkoani hautumi?,mfano mzigo hadi ufike Dar Tra. fee ni sh ngapi?
Uko mwanzA sehemu gani nije nione mzigo, Mimi Niko kisekeNi ndoo kubwa mkuu
Nitafute napatikana kona ya bwiru.Uko mwanzA sehemu gani nije nione mzigo, Mimi Niko kiseke
Nipe contact zako mkuuNitafute napatikana kona ya bwiru.
Ndugu zangu naomba connectio ya sehem gan wanapouza pembe za ng'ombe,ngozi, kwato pamoja na uume wa ng'ombe nina mtaji wa milion mbili naitaji nifanye hiyo biashara naomben msaada
Kuna mzee flani yuko chato anashughulika na kukusanya hivyo vitu ngoja nitafte mawasiliano yake kama nitampata. Ama zaid waeza tafuta hata watu wa karagwe pia pembe hupatikana sana pande hizooNdugu zangu naomba connectio ya sehem gan wanapouza pembe za ng'ombe,ngozi, kwato pamoja na uume wa ng'ombe nina mtaji wa milion mbili naitaji nifanye hiyo biashara naomben msaada
Itakuwa nzuri san mkuuKuna mzee flani yuko chato anashughulika na kukusanya hivyo vitu ngoja nitafte mawasiliano yake kama nitampata. Ama zaid waeza tafuta hata watu wa karagwe pia pembe hupatikana sana pande hizoo
Ikiwapendeza naomba uzi wangu upitiwe...natafuta Connection.Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Sapro Masai, nawaonaga instagram kumbe upo hadi huku[emoji106] viatu vizuriiMMASAI OG FASHION SHOES
NI wauzaji wa viatu vya kimasai kwa bei ya kiwandani jumla na reja reja
Jumla ni shilingi 5000 tu
Reja reja ni shilingi 7000 tu
Tunapatikana Mwenge Dar Es salaam
Pia Mikoani Tunatuma......
Tuchek whatsap/call/text 0672904720