Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu nipo kwenye mchakato wa kufungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi sembe na dona,tatizo linakuja kwenye soko,Kiwanda kitakua mkoa wa songwe
 
natafuata kinyozi wa salon kwa dar pls pm me haswa jimbo ubungo,kawe au kinondoni....
 

  1. Mimi nawasaidia wajasiriamali kunasa wateja kwa kutumia internet, mkoa wowote ulipo, Nina technology ya kulink akaunti zako ili wateja watoke Facebook, na Instagram wakufuate WhatsApp
    Ntaftie Mteja, wa kupanga fremu ya biashara Dodoma maeneo ya stend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…