Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari wana Jf Nina portable toilets /mobile toilets kwa ajili ya matumizi yote ya outdoor. Kwenye misiba, matamasha, shughuli za ujezi na kadhalika.

Kampuni ni mpya nahitaji kupigwa tafu kupata wateja jamani

Namba ya simu ni 0768 333 953
Barua pepe ni muhogomchungu.kr@gmail.com

Kwa Msaada au support yoyote tutashukuru sana.

Bei ni kuanzia Tshs 150,000 kwa siku.
IMG-20200817-WA0007.jpeg
IMG-20200813-WA0004.jpeg
 
Naomba nipewe connection ya vipodozi vya kike na kiume visivyo na madhara. Nahitaji kununua kwa Bei ya jumla

Mimi nauza vipodozi vya kampuni ya hemani na sac kwa jumla na rejareja ni vya watu wote na ni vya asili. If interested njoo pm tuyajenge
 
Nokia 5.1 plus Bado kali kabisa.. ram 3, gb 32 storage, picha Kali mp 16 . exchange allowed Ila iwe Samsung na iPhone. Android 10 latest .

Location Dom. Bei 350k
Nokia-51-Plus-Nokia-X5.jpg
 
Back
Top Bottom