mr songambele
Member
- Apr 15, 2017
- 38
- 24
Nahitaji mzani wa mawe used, kama kuna yeyote anaeuza tafadhali tuwasiliane.
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Connection ya Nazi imeshindikana kabisa
Printer Epson L808 mnauzaje boss?Tunauza vifaa mbalimbali
Printer za epson
Photocopier za canon
Laminator
Vifaa vya simu kama
Vioo (LCD)
Protectors
Touch screen
Tupo kariakoo na Kibaha. Na vifaa vyote ni vipya kabisa na bei zetu ni nafuu. 0767086446
Hakuna l808 mkuu. Kuna l805, karibuPrinter Epson L808 mnauzaje boss?
Natafuta anayeuza nazi kwa bei ya shamban niwe najumua mzigo kwake.
Pm meNahitaji mzani wa mawe used, kama kuna yeyote anaeuza tafadhali tuwasiliane.
Asante
Ndio unauzaje hiyo boss?Hakuna l808 mkuu. Kunq l805, karibu
Huu uzi utanifaaKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Haijashindikana mkuuConnection ya Nazi imeshindikana kabisa
Nataka kununua kwa jumla, natafuta muuzaji wa uhakika bei ya shambani.Haijashindikana mkuu
We unataka kuuza jumla au rejareja?
Ngoja nitakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sababu yeye ana wasiliano ya karibu na mkulimanataka kununua kwa jumla, natafuta muuzaji wa uhakika bei ya shamban.
Utakuwa umenisaidia sana mzee babaNgoja ntakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sbb yeye anawasiliano ya karibu Na mkulima
Kutokea kisiwani Mafia Na pia anafanya hiyo biashara atakupa maelezo vzr
Mm nilifanya lakin sikuwa field so sitaki nikupe taarifa fake
Mungu akutangulieasante sana mkuu kw msaada wako
@Mshana JrWakuu nahitaji mwenye hizi pipa au mwenye connection kujua wapi naweza zipata kwa wingi na bei ya jumla .Natanguliza shukrani View attachment 1573142View attachment 1573143