Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Tunauza vifaa mbalimbali
Printer za epson
Photocopier za canon
Laminator

Vifaa vya simu kama
Vioo (LCD)
Protectors
Touch screen

Tupo kariakoo na Kibaha. Na vifaa vyote ni vipya kabisa na bei zetu ni nafuu. 0767086446
Printer Epson L808 mnauzaje boss?
 
Huu uzi utanifaa
 
nataka kununua kwa jumla, natafuta muuzaji wa uhakika bei ya shamban.
Ngoja nitakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sababu yeye ana wasiliano ya karibu na mkulima
Kutokea kisiwani Mafia na pia anafanya hiyo biashara atakupa maelezo vizuri.
Mimi nilifanya lakini sikuwa field so sitaki nikupe taarifa fake
 
Utakuwa umenisaidia sana mzee baba
 
0687154049
Anaitwa Isihaka mcheck atakusaidia
Pia ntamjulisha km nimekupa Namba yake
 
Jipatie pipa za plastiki zenye ujazo wa lita 200 (kama zinavyoonekana pichani. Bei ya jumla kwa pipa ni 30000/= kuanzia pipa 20. Rejareja 35000/=. Tupo Kibaha msikitini (kituo kimoja kutoka kwa mathias/tanita)View attachment 1577919
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…