Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Jamani mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa Singida kuwaleta Dar naomba wenye uzoefu na soko la Dar anijulishe niende wapi na wapi maana kuna mtu kanambia hotelini au Manzese sokoni sasa sijui nianzie wapi
 
Jmn mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa singida kuwaleta dar naomba wenye uzoefu na soko.la dar anijulishe niende wapi na wapi mana kuna mtu kanambia hotelin au manzese sokon sa cjui nianzie wapi
Manzese wanalalalia sana hutapata faida nzuri. Kama una nafasi washushe kuku wako then Anza kuuza rejareja jitangaze kwenye mitandao, fanya delivery, weka kanisani Jumapili watu wakitoka itakulipa.

Hiyo ya kupeleka sokoni mtaji utakata.
 
Unaweza kuzipeleka hizi toilets kwenye masoko chief,,unaomba eneo kwenye uongozi wa soko. Masoko mengi makubwa hayana vyoo vya kutosha,hata stendi pia kama mbezi, ubungo.
Umempa wazo zuri Sana, hata asipowauzia yeye akusanye tu 300/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…