Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nauza motor ya kuvuta maji kisiman. bei laki 3. specifications zake zko kwny picha. location kimara mwisho dsm.contact 0687886600View attachment 1581621View attachment 1581622View attachment 1581623View attachment 1581624
20200925_121630.jpg
View attachment 1581625
 
Jamani mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa Singida kuwaleta Dar naomba wenye uzoefu na soko la Dar anijulishe niende wapi na wapi maana kuna mtu kanambia hotelini au Manzese sokoni sasa sijui nianzie wapi
 
Jmn mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa singida kuwaleta dar naomba wenye uzoefu na soko.la dar anijulishe niende wapi na wapi mana kuna mtu kanambia hotelin au manzese sokon sa cjui nianzie wapi
Manzese wanalalalia sana hutapata faida nzuri. Kama una nafasi washushe kuku wako then Anza kuuza rejareja jitangaze kwenye mitandao, fanya delivery, weka kanisani Jumapili watu wakitoka itakulipa.

Hiyo ya kupeleka sokoni mtaji utakata.
 
Unaweza kuzipeleka hizi toilets kwenye masoko chief,,unaomba eneo kwenye uongozi wa soko. Masoko mengi makubwa hayana vyoo vya kutosha,hata stendi pia kama mbezi, ubungo.
Umempa wazo zuri Sana, hata asipowauzia yeye akusanye tu 300/=
 
Back
Top Bottom