Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Yanahitajika maharage kwa ajili ya shule.
Kama una kombati ama rose coco tuwasililiane. Zinahitajika gunia 100+
 
Huduma hii mnatoa kwa Songea tu?
 
Hizo zinauzwa ghali 45k - 50k Mimi nahitaji toka viwandani ambapo bei ni 20k -25k. Hizi huwa zinaletea malighafi hasa kemikali kwa baadhi ya viwanda ila sijajua hasa ni viwanda gani.
Hata mimi nayatafuta sana haya mapipa
 
Bei mkuu kwa kg100
Mi nauza kwa ndoo kubwa na gunia mkuu.. ndoo nauza 45000 gunia 420000 linakuwa na ndoo 10 ukiitaj ni PM mkuu

Dagaa ni wazuri wamekaangwa katka mazingira salama pia hawana mchanga
 
Naomba wenye connection na midoli ya madukani kwa ajili ya display (mannequins), natarajia kuanza kuileta Tanzania kuanzia November mwishoni. Bei ya jumla na reja reja itakua shilingi elf 60 tu, wateja wa mikoani mpaka Dar es Salaam mnakaribishwa sana.
View attachment 1606099View attachment 1606100
 

Attachments

  • Screenshot_20201020_132355_com.android.chrome.jpg
    24.6 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…