Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara


Kila la kheri mkuu[emoji1431]
 
Kila la kheri mkuu
 
Ndio ni nguo hazina bei?
Zinazo Chief.

Pita Huku Kwa Details Zaidi.

👇👇👇👇👇👇👇👇


Karibu


 
Ukiitaji radio na TV kwa bei ya jumla tupo Mwanza tucheck 0688572784
 
Kariakoo, Mabibo na Tandale kwenye mafuso ya miwa
 
TANGAZO. Tunauza movies package za aina zote, bei ni 1500 - 3500 (inategemea ukubwa wa movie) pia tuna tuna kwa WhatsApp na E-mail. Ni PM kwa wanaohitaji!!! KARIBUNI SANA!
 
Specifications ya hizo laptops
Ram
GHz
Charge
 
Mwenye kuhitaji kutengenezewa matangazo, nipo na EG design apa wako poa sana nicheki atakutumia na sample.
 

Attachments

  • tangazo enhanced.png
    420.3 KB · Views: 10
  • TANGAZO EG.png
    133.6 KB · Views: 10
Nahitaji mbao za one four, location Mbeya.
DM me kama unazo, nahitaji nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…