Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
naombeni connection ya wapi wanakobeba sana na kushusha mizigo ya mazao nikawe kuli ili nipate mtaji wa biashara,yan kama ni sokoni ni soko linaloingiza lori kwa siku angalau 4,5 au viwandani ambacho wanaruhusu makuli wa kujitegemea naomben connection kwa anaejua hasa mkoa wa pwani kibaha au bagamoyo na dar es salaam
Kila la kheri mkuu[emoji1431]