Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Natafuta mtu wa kufanya investment ya mtaji kwenye kampuni, Nimesecure biashara ya mazao ya kusupply zaidi ya tan 30 kila mwezi ila nimekwama kwenye mtaji. Natanguliza shukrani wakuu.

Aje na pesa kiasi gani?
 
Natafuta mwekezaji, kilimo cha papai za kisasa, shamba eka 1, tayari nimelima na kuweka mbolea, imebaki kupanda miche. Pia dawa na gharama za umwagiliaji kwa mwekezaji. Idadi ya miche ni 580.
 

Attachments

  • IMG_20201018_083124.jpg
    446.1 KB · Views: 8
  • IMG_20201018_083603.jpg
    547 KB · Views: 8
  • IMG_20201011_123829.jpg
    498.7 KB · Views: 8
  • IMG_20201104_175931.jpg
    256.9 KB · Views: 8
  • IMG_20201104_142628.jpg
    369 KB · Views: 7
  • IMG_20201011_120356.jpg
    519.8 KB · Views: 7
Natafuta mwekezaji, kilimo cha papai za kisasa, shamba aka 1, tayari nimelima na kuweka mbolea, imebaki kupanda miche. Pia dawa na gharama za umwagiliaji kwa mwekezaji. Idadi ya miche ni 580.

Toa maelezo ya kutosha mkuu, kama location, gharama....kilimo cha muda gani hasara nafaida zipoje???
 
Shamba liko karibu na kituo cha SGR Soga. Gharama ya miche ya papai ni 2500 kwa mche. Kuna bwawa la maji ya kutosha mwaka mzima. Water pump ya kumwagilia maji ipo. Kwa maelezo zaidi PM.
 
Shamba liko karibu na kituo cha SGR Soga. Gharama ya miche ya papai ni 2500 kwa mche. Kuna bwawa la maji ya kutosha mwaka mzima. Water pump ya kumwagilia maji ipo. Kwa maelezo zaidi PM.

Me naweza kuwekeza hii mkuu, ila maelezo bado hayajatoshelezaa, SGR Soga ipo mkoa gani wilaya ipi ?
 
Wakuu nahitaji vitu hivi kwa uhakika weekend hii..

Suruali za kitambaa rangi ya Dark blue Mtumba,
Mashati meupe ya mikono mirefu Yale yenye mapindo kifuani wanavaa sana kwenye graduations wanaita ya Taksida kama sikosei.
Moka za dukani..

Kwa ufupi hizi ni nguo za graduation, unaweza ukapata picha halisi.
 
Kuna siku nilivyokuwa Dar, niliamua kwenda Karume ila sasa kabla sijafika Karume yenyewe, katikati ya round about ya Kariakoo na Karume yenyewe nikakutana na nguo kali za kushonesha alafu bei maandazi kabisa, kama upo Dar hebu jaribu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…