King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Mkuu,Kama utaitaji pia mchele safi kutoka moro ifakara nicheki..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Kama utaitaji pia mchele safi kutoka moro ifakara nicheki..
Ok sawasawa,so mpaka sasa wana endelea na mavuno? Na je kwa swala la mpunga au mchele km kule barabara ni changamoto je kwa Ifakara au huko Mlimba wapi unaweza kupiga bao vzr>>> ww ndio Damian J ulio leta hii taarifa ya mlimba,nadhani Ifakara pia utakua una ijua kwa swala hili la Nafaka.
Siyo aku pm aseme hapahapa kila mtu apate faida
Jaribu kutembelea mitaa ya keko kama upo dsm kunakiwanda Cha wachina jina nimelisahau ila kipo jirani na kiwanda Cha mikateNahitaji connection na kiwanda kinachotengeneza mabegi na mikoba hapa nchini.
Shukrani kakaJaribu kutembelea mitaa ya keko kama upo dsm kunakiwanda Cha wachina jina nimelisahau ila kipo jirani na kiwanda Cha mikate
Mkuu usichoke elezea ajira/kazi au tenda ipi , connection utapata tuDaaahh, mchawi wa kazi siku hizi ni connection, taaluma imekuwa ni kigezo cha ziada. Mungu tusaidie katika utafutaji wa mkate wa kila siku.
Unauza au??? Au unataka kununuaNapenda nipewe connection ya wa unnuzi wa nyumba Ngokolo Shinyanga.
Njoo DM
khanga nenda urafiki kiwandaninaitaji connection ya madera ya wanawake,vitenge na khanga kwa bei ya jumla.
nipo dar
Mkuu jaribu kukaanga mihogo,kuku,viazi / mishikaki inalipa kulingana na trend ya sahizu kuwa bidhaa za chakula ndio zinatoka zaidi.Jmn habari zenu!?
Nina mtaji was laki 1 nahitaji kufanya biashara. Je, nifanye biashara gani? Nipo Arusha
Ni PM kwanza.
Sina connection nimemaanisha mtoa mada kama bado hana kazi hadileo ani PM tuongee.Sawa