Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Vyoo mobile vya kiss. Kwa ajili ya misiba. Harusi. Events, pia vinaweza kutumika kwenye construction sites, mining sites etc

Vinaweza kwenda popote kulingana na matumizi yako.

Wasiliana nasi kupitia 0768 333 953. Unaweza piga muda wowote au tuma meseji whatsapp.

Vyoo vipi vya kutosha.
Ukitumia hili neno la TAMZYN kunitafuta utapata 50% discount.

Karibuni sana.
IMG-20200718-WA0007.jpeg
IMG-20200718-WA0005.jpeg
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Ningependa kupata connections za wanaouza ama wateja wa viwanja, nyumba za makazi na biashara.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
1595707182950.png
 
Ndugu zangu mi nina mtaji wa kiasi cha milioni tisa lakini kusema ukweri sijui nifafanye biashara gani,na hii yote nikwa sababu sina uzoefu na biashara,na kwenye hili lazima niwe mkweri,ninaishi hapa Kibaha Pwani

Sent from my B-TOUCH10 using JamiiForums mobile app
Kama utaweza fungua uwakala wa m.pesa au Tigo pesa inalipa sana
 
Ndugu zangu mi nina mtaji wa kiasi cha milioni tisa lakini kusema ukweri sijui nifafanye biashara gani,na hii yote nikwa sababu sina uzoefu na biashara,na kwenye hili lazima niwe mkweri,ninaishi hapa Kibaha Pwani

Sent from my B-TOUCH10 using JamiiForums mobile app
Funguwa Saloon kubwa yakisasa hapo kibaha, Kama hauna uzoefu ni pm nitakupa maelekezo.
 
Anaehitaji website/blog ya kampuni au biashara yake awasiliane nami tafadhali. Gharama ni nafuu sana... Website ni laki tatu na sabini elfu (Tsh.370,000) blog ni laki moja na sabini elfu (Tsh.170,000).
 
Mi nifundi wa kutengeneza mitambo ya kusaga na kuchenjua Zahabu yaan C,I,P plans, kwa mwenye connections tuwasiliane
IMG_20190507_122501_8_1591522943087.jpeg
 
Back
Top Bottom