Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Pilipili manga ziko tani 4 ,Tanga Muheza.bei 9,000 kwa kilo.

Mbaazi tani 320 kutoka babatti ziko Dar kwa sasa kilo 1,650 kwa kilo.

Karafu tani 30 ,Tanga Muheza,kwa kilo 15,000.

Irick zipo kilo 200,bei 18,000 kwa kilo mzigo huko Dar.View attachment 1950856View attachment 1950854
IMG-20210920-WA0034.jpg
View attachment 1950855
 
BIASHARA YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mmoja wawatu wanaofanya biashara ya library ya movies,hii biashara ukiwa makini inafaida sana kwa siku unaingiza kipato kinzuri tu,changamoto ya biashara,sio kubwa kama biashara nyingine unaweza kuziepuka ..
Unafanyia mkoa gani
 
NIPO ARUSHA ,DAR, MBEYA HUKO MATAWI YANGU YAPO
Good, nitakutafuta unipe ABC
 
BIASHARA YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mmoja wawatu wanaofanya biashara ya library ya movies,hii biashara ukiwa makini inafaida sana kwa siku unaingiza kipato kinzuri tu,changamoto ya biashara,sio kubwa kama biashara nyingine unaweza kuziepuka ..
Upo wapii??
 
Back
Top Bottom