Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari wjamvi, Natafuta mtu kutoka mwanza mwenye uzoefu wa kwenda Uganda, Kampala kibiashara nahitaji kwenda kujumua vitu vya uremno, nijulishe tafadhali.
Kwanza una passport kma unayo passport mbona rahisi tu wenda Kampala kuna sehemu panaitwa Gazaland utapata kila kitu tunachokiitaji mkuu
 
Nina mahindi mabichi (gobogobo)zaidi ya hekar 2,mbegu ni Dk, niko Mpwapwa Dodoma kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane 0627471648.Asante
 
Wale wanaohitaji mayai ya kisasa. Tray 7500. Location dar, popote yanakufikia (usafiri juu yako)
 
Habari Wakuu?
Shukrani kwa huu Uzi
Nina binafsi nina mpango wa kuhamia mkoa wa Morogoro na ninpenda kufungua biashara ya vilainishi vya magari.. Sasa kwa wenyeji wa mkoa huu ningepnda kujua mambo mawili muhimu;

Kwa wastani gharama za chumba cha biashara (yaani kodi ya pango kwa mwezi). kwa maeneo ambayo yamechangamka na yana movement kubwa ya watu.

Mbili ni maeneo ya makazi yenye gharama nafuu kwa nyumba za kupanga.

Asante.
 
Are you a victim of a frequent power outage at your office, factory, workshop, or home like the rest of us ?

If the answer is YES! then you must be looking for a reliable, budget-friendly and pollution-free alternative solution to a frequent power outage problem.

Meet the team of professional and experienced mechanical engineers who are well-recognised for fixing, installing, supplying and repairing all kinds of power-supplying generators within and outside the country.

Reach out to them for the quality and unprecedented generators services.
:
+255713302846

+255693296809

Premises location: Tabata Sheli.

GENERATORS AND AIR COMPRESSOR SOLUTION
 
Kama wewe ni fundi na unaitaji connection za kazi za kiufundi usisite kuingia katika group hili whatsup linaitwa FUNDI COLECTION


Mafundi wote wa
ujenzi nyumba , air condition, cctv installation ,electricity fence carpenter ,website design, app design, .....nk

Tukutane humo kwa ajili ya kupeana kazi Za kiufundi na connection Za kifundi...


 
nimefungua sehem ya car wash na service za magari.Kama kuna mtu ana mzigo wa oil na vtu vingne vinavyousu magari tunaweza kuelewana akanipa mzigo n thn nikawa nalipa taratibu kadiri unavyotoka.
 
Back
Top Bottom