Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Natafuta Mota used horsepower 20-25kwa ajili ya kusaga nafaka, mwenye connection please[emoji120]
 
Biashara ya samaki wabichi, kununua kutoka kwa wavuvi (hasa bagamoyo) kwa mfumo wa ndoo na kupeleka sokoni au.kwenye maduka makubwa ya samaki.
Nataka niifanye hii kwa ukubwa.

Naomba mwenye uzoefu kwa hapa Dar anijulishe.

DM iko wazi.
Umeshaianza hiiii biashara Mimi naish bagamoyo
 
Mwenye connection ya kuagiza mzigo china please hususan nguo za kike
 
IMG-20211101-WA0029.jpg

Wakuu zimebaki kilo 600 tu....Mchele super kutoka kyela mbeya haujavunjika vunjika na unanukia vizuri saana, nisaidieni ku-push huo mzigo nakuletea popote ulipo ndani ya dar (free delivery)...
1800 per kilo anaechukua nyingi maongezi yapo.....text me tsup au normal 0757590836
 
Kumekuchaaaa dili changamkia fursa uza mchele upate pesa cha kufanya ni hivi tangaza mchele wetu ukileta mteja wa kiroba cha kg 50 unapata 2000 na kg 25 unapata buku unasubiri nini sasa muda ni huu uza zaidi upate pesa zaidi

0744883353 moshi Kilimanjaro
 
Kwa wanaoitaj huduma ya CCtv camera usisite kunipigia kwenye namba
0686520133

Bei ni ya naelewano kabisa

Pia tembelea link hii kwa kukutana na mafundi Mbali Mbali

 
Jipatie viatu vizuri vya kike na mikoba ya kisasa[emoji151][emoji91][emoji91]
Tunapatikana Arusha mjini
SIZE 38,39,41,42
Natuma mzgo popote ulipo ndani na nje ya nchi Pemba , Unguja, mikoa yote, Kenya, Uganda
USAFIRI KWA GHARAMA ZA MTEJA
*UKIPENDA KARIBU INBOX KUKUHUDUMIA
*Plz Follow Instagram
*@mag_stylish collection kujionea zaidi
*[emoji338] 0621086866 Watsap/ msg
Or wasap group
View attachment 2013371View attachment 2013373View attachment 2013372View attachment 2013376View attachment 2013374View attachment 2013375View attachment 2013377
IMG-20211115-WA0046.jpg
View attachment 2013378

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom