Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kuku sasso wanauzwa
Umri miezi3 na wiki3.
Wako120,
Bei ni 12000,
Location Ushirombo.
Kama mteja ni wa mbali atapunguziwa bei ili abakie na nauli ya kusafirishia. 0629306194 karibuni
IMG-20211122-WA0005.jpg
 
Wakuu naomba kujua mahindi mabichi kwa wale wanaochoma barabaran wananunuaga wapi ukiwa dar?? Na kwa bei gan
 
Habari ya jpili wakuu,
Nauza mchele kutoka Kyela kg 20 sh 30,000/= upo kg 75.

Note:mchele hauko super as tulivoukoboresha haukutoka vizuri sana mashineni, hivo una vipunje vilivobakia japo si sana ila itabidi uuchambue tena kidogo. Ila ni pure from Kyela.
Karibuni.

20211128_141117.jpg


20211128_141147.jpg
 
Naombeni Kujua Hivi Kuna Mashine maakumu za Kukaangia Karanga?? Kama kuna aliye wahi pata mashine hiyo anipe uzoefu wake tafadhali

1. Je nibei gani kinunua?
2. Ina uwezo wa Kukaangia kiasi gani kwa siku ?
Je ina uwezo wa upande wa Kufungashia karanga(packaging)

Asante


Hiyo portable popcorn maker inakaanga karanga, 85,000/=
Sidhani kama inajaa hata nusu kilo
 
Disen car subwoofer (new)
Subwoofer yenye amplifier ndani
-Watts 1000
-Mdundo kama wote[emoji344]
Kwa ajili ya gari[emoji593] lako au bajaji
Zinapatikana
Bei
90,000/=
TUPO LIVINGSTONE/PEMBA KARIAKOO
WhatsApp & Calls
0714122948
Delivery ipo Kwa waliopo Dar
Mikoani Tunatuma pia
FB_IMG_1606969503173.jpg
FB_IMG_1619348860480.jpg
 
Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.
Mkuu dagaa wa Kigoma ni wa ziwa Tanganyika, Sumbawanga hapa wapo wengi wamekaushwa kwa jua. Bei ina range, 8000, 9000, na 10k kwa kilo kwenye stoo.
 
Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.
Usafiri una kampuni inaitwa Mtandao, au kwa haraka tunaweza tumia mabasi, mzigo hata kg 100 unafika. Njoo PM tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom