Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari,
Anayeitaji machinery equipments Kama excavator,backhoe,grader na nyingine tuwasiliane natoa commission pia kwa atayeleta Kazi office zipo kimara.Njoo Dm kwa majadiliano zaidi.
 
Nahitaji zuria la kuoamba sebule yangu mwenye nalo ane tuyajenge
Karibu zulia la manyoya yapo 5/6, 6/6 na 9/10 nipigie au WhatsApp 0744588179
IMG-20220701-WA0000.jpg
IMG-20220630-WA0001.jpg
 
Habari,
Anayeitaji machinery equipments Kama excavator,backhoe,grader na nyingine tuwasiliane natoa commission pia kwa atayeleta Kazi office zipo kimara.Njoo Dm kwa majadiliano zaidi.
Excavator unafanya Bei gani kwa saa? Je kwa kazi ya siku kumi unaweza kuja Moshi?
 
Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

Kumbuka Utauzia DHAHABU Kwa Bei Ya NYANYA[emoji1].

0658 357537
Tabora

Popote Tunatuma Na Mzigo Utakufikia Bila Shida
 
Wapi nitapata nguo za kimichezo kwa bei ya jumla. Yaani kama tracksuits na jezi za timu mbalimbali kwa bei ya Mtanzania.
 
Eneo linauzwa lipo tabata baracuda mita Mia tatu kutoka barabara ya lami
 
KONTENA LIKO SOKONI

WATSUP/CALL 0788104228
 

Attachments

  • IMG-20220815-WA0007.jpg
    IMG-20220815-WA0007.jpg
    66.4 KB · Views: 66
  • IMG-20220815-WA0006.jpg
    IMG-20220815-WA0006.jpg
    52.8 KB · Views: 62
  • IMG-20220815-WA0005.jpg
    IMG-20220815-WA0005.jpg
    51.5 KB · Views: 66
  • IMG-20220815-WA0004.jpg
    IMG-20220815-WA0004.jpg
    44.2 KB · Views: 50
  • IMG-20220815-WA0003.jpg
    IMG-20220815-WA0003.jpg
    33.1 KB · Views: 55
  • IMG-20220815-WA0002.jpg
    IMG-20220815-WA0002.jpg
    28 KB · Views: 58
Habari, ninauza icecream mashine kwa Tsh 2,000,000/= tu, nipo Morogoro mjini, kwa anayehitaji, tuwasiliane kwa no. 0628015647
 

Attachments

  • 20220711_191620.jpg
    20220711_191620.jpg
    12.9 KB · Views: 65
Back
Top Bottom