Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu natafuta vile vipikipki vidogo ambavyo hupendwa na wanawake zaid..kampun ya snoray au houjue ..mwenye nayo anicheck.. mimi npo mwanza
 
Jitangaze na kukuza biashara yako kwa huduma za Graphics.

Ninahudumia wafanyabiashara na makampuni katika kukuza bishara zao kwa kutumia huduma za aGraphic Design.

Huduma zangu.

  • Branding business and Offices
  • Brand identity Design
  • Flyers and Posters
  • Business Cards
  • Calendars
  • Vikombe
  • Tshirts na Form 6 design zilizo na logo
  • Website Design
  • Letter heads
  • Invoices and Receipt books

Bonyeza link hii ili tuwasiliane na nijue namna gani naweza kukusaidia.

Branding.jpg
 
Nauza mashine za kutolea risiti vfd ambayo inafany kazi sawa na efd sema yenyew inatumia smartphone compyuta na ni rahisi kutumia zinauzwa laki 3 tu
Call 0683935825 kwa maelezo zaid
IMG_3056.jpg
 
Kama kuna mtu anahitaji soya, zile zinatumika pia kwa chakula cha mifugo, zipo Iringa, tani moja na nusu
piga 0657745281
 
Natafuta sana connection ya wauzaji wakubwa sana mno wa vifaa vya umeme dar na mwanza.
 
Ninaa uzaa vifaa vya ufugaji kama,

1.INCUBATOR MACHINE ZA CHUMA NA PLASTIC
2.CAGES ZA KUKU WOTEE
3.NIPPLES ZA MAJI KWA MIFUGO
4.TAA ZA JOTO KWA VIFARANGAA
5.AUTOMATICAL DRINK NK

KWA YOYOTEE MWENYE UHITAJI TUPEANE CONNECTION
0744344949 /0658344949 [emoji3513][emoji3513][emoji3513] DSMView attachment 2504692
download.jpg
FB_IMG_1675326603129.jpg
5adeab3831e1456b9648de2c70ed1537.jpg
IMG-20221229-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom