Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

HABARI JF,
TAREHE 31-03-23 NI MWISHO WA KUFANYA MAKADIRO YA KODI, ZAIDI YA HAPO PENATI YA 225,000 INAMHUSU MLIPA KODI ALIYE CHELEWA.

KARIBU TUKUSAIDIE KABLA YA MWSHO WA MWEZI,
TEMBELEA HAPA KWA HUDUMA NYINGINE ZA KAMPUNI
 
Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 25
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 27
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 28
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 28
Nataka nije dar nifungue play station ushauri wenu wakuu budget 2.2 million
Ps4 Slim used 650k apo anza na mbili
Tv tembelea magomeni au Temeke mwisho utapata mtumba zile zinadumu sana Kodi inaangalika na eneo
Vitu vingine viti,Pazia na feni inaweza fika 150k

NB:Hakikisha unachukua Ps4 slim maana mtaji wako sio mkubwa kivile,Slim zinaweza kuhimili mshikemshike na hazioverheat kama Fat,mtaji ukipanda nunua Ps4 Pro au PS5 kabisa

PS4 FAT-Ina ngazi tatu na katikati inamstari hii inauzwa 500k>
PS4 slim-inangazi mbili tu ipo ya 500gb na 1TB bei ni 600k>
PS4 pro-ina ngazi tatu lakin haina mstari,inasupport 4k resolution,ina storage kubwa 1TB hii bei 800k>

Hzo bei ni used zenye condition nzuri utaweza pata maduka kama Games Store TZ wapo makumbusho,Games Point Mliman City wacheck Insta utawapata.
 
Shukran mkuu barikiwa sana ,, na location nzuri kwa dar ni wapi
 
Oyaaa
Naombeni connection ya kiwanda Cha vijora na Madera ya msomli +vitambaa
 
Nataka nije dar nifungue play station ushauri wenu wakuu budget 2.2 million
Nataka nije dar nifungue play station ushauri wenu wakuu budget 2.2 million
Kwa hapo man mi ngekushauri ungekuja then ungetafuta maeneo ambayo yamechangamka na pia hakuna ps, qwa mfano mimi nina ps kimara tembon pazur na pana watu akn pia nlikua na ofisi nyngne msimamizi anasumbua kwahyo nauza vtu ambavyo ni tv mbili nchi 32 na ps4 1, moja nliuza kma utahitaji naweza kukuuzia kwa bei ya kawaida sana, hili sote tufike lengo. Kma utapenda nchek kwa nmba 0628479320 whatsApp
 
Back
Top Bottom