Uzi maalumu wa kupeana mawazo na kutafuta washirika wa biashara

Uzi maalumu wa kupeana mawazo na kutafuta washirika wa biashara

Salamu,
Hoja zako ni nzito kiongozi, zinaujazo. HONGERA!..... isopokuwa la daycare nadhani, zipo daycare kila kona.
Kwangu, naona watanzania tunashida ya ubinafsi kiasi na wachache wanaopambana wanazimishwa na dola. ingawa bado tuko na nafsi ya kufanya makubwa kama ulivyopendekeza.
Binafsi napendekeza kuinua wenye vpaji na lkn hawna uwezo, mtu mmoja ama kundi la watu wafany sponsoring ya watu wenye vipaji kwa kusomesha ama kuendeleza vipaji vyao. Alianza mh. Na marehemu mengi lkn sasa, ni kama imezima.
Binafsi nasaidia kwa wale wanataka kufika mahala kwa kutoa huduma zifuatazo
1. Kusajilisha Makampuni Na Biashara Tz
2. Kuandaa Mahesabu Ya Kodi/Kampuni
3 Kupata Cheti Cha Uwekezaji Tz
4 Ushauri wowote ni Bure;
5.....ZAIDI GUSA LINK
 
Back
Top Bottom