uzi maalumu wa kupeana updates kwa tulioomba fursa za mafunzo ya kilimo bihawana

uzi maalumu wa kupeana updates kwa tulioomba fursa za mafunzo ya kilimo bihawana

rutajwah

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
89
Reaction score
101
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma.

Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa washatuma maombi
source,

Kituo cha bihawana kina uwezo wa kuchukua vijana 74

source,

mwenye updates zozote apost hapa kwani kwenye tangazo ni kwamba mafunzo yanaanza tarehe 15 feb.
Je mchakato wa kuwapata ukoje?
wanahitajika wangapi excactly?
Kituo cha bihawana tu ndo kitapokea watu au na vingine vitapokea?
Natanguliza shukrani......
 
ina maana katika vijana 16 elfu walio apply hakuna aliyeona post hii?
 
Vijana wachache sana, wapo humu jamii forum. Na waliokuwepo wengi wao huishia hoja mchanganyiko.
 
ina maanisha jamiiforums kuna members ambao ni above fourty? maana hii fursa ni kuanzia 18 to 40
Vijana wachache sana, wapo humu jamii forum. Na waliokuwepo wengi wao huishia hoja mchanganyiko.
 
Habari Wa
Mimi Ni mmoja Kati ya watu waliojaza form ya kuomba mafunzo ya kilimo ya vijana, Ila sikuwa online kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Samahani nahitaji kufahamu Kama Kuna yeyote mwenye updates za bbt kilimo maana sijaona hata majina ya walio chaguliwa kushiriki mafunzo
 
Back
Top Bottom