Habari Wa
Mimi Ni mmoja Kati ya watu waliojaza form ya kuomba mafunzo ya kilimo ya vijana, Ila sikuwa online kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Samahani nahitaji kufahamu Kama Kuna yeyote mwenye updates za bbt kilimo maana sijaona hata majina ya walio chaguliwa kushiriki mafunzo