Uzi maalumu wa kuquote

Quote tu unazotaka mfano kama hapo umequote mbili so ukitaka nyingi unaongeza nyingine hakuna jipya
 
Notification ya malikes ndo tamu kuliko notification ya qoutes za nini sasa
 
 
Fanya hivyo mkuu ututoe gizan nduguzo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] samahanini jamani najifunza kuquote [emoji122] [emoji122]
Mimi hata mbili hizo sijui please assist ku quote kwa lumbesa

Aaaaaaaaha kumbee bac itabidi uanzishe UZI wa kuassist ku QUOTE kwa LUMBESA

Ili na wengine wafaidike etii

Notification ya malikes ndo tamu kuliko notification ya qoutes za nini sasa

Ridhika hata na kukotiwa wengine hawajawahi kuwa kotedi eti.

Hahahah aridhike na kidogo apate sieti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…