Uzi maalumu wa kuquote

Uzi maalumu wa kuquote

Quote tu unazotaka mfano kama hapo umequote mbili so ukitaka nyingi unaongeza nyingine hakuna jipya
 
Notification ya malikes ndo tamu kuliko notification ya qoutes za nini sasa
 
Quote tu unazotaka mfano kama hapo umequote mbili so ukitaka nyingi unaongeza nyingine hakuna jipya[/OTE]
Mimi hata mbili hizo sijui please assist ku quote kwa lum
Notification ya malikes ndo tamu kuliko notification ya qoutes za nini sasa
Sasa kupata likes ni mpaka uwe na akili nyingi ila kua quoted hata ukiwa ukilaza unaweza kuandika pumba tu alafu raia zikaja kukunyea kwenye comment atlist n
 
Fanya hivyo mkuu ututoe gizan nduguzo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] samahanini jamani najifunza kuquote [emoji122] [emoji122]
Mimi hata mbili hizo sijui please assist ku quote kwa lumbesa

Aaaaaaaaha kumbee bac itabidi uanzishe UZI wa kuassist ku QUOTE kwa LUMBESA

Ili na wengine wafaidike etii

Notification ya malikes ndo tamu kuliko notification ya qoutes za nini sasa

Ridhika hata na kukotiwa wengine hawajawahi kuwa kotedi eti.

Hahahah aridhike na kidogo apate sieti?
 
Back
Top Bottom