Uzi maalumu wa kuquote

Uzi maalumu wa kuquote

He, wanajilipua? Ngoja niwahi nikawazuie wasije wakauana aisee...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Baada ya kupeana lakes saivi ni notification za qoute kwel jf kumebadilika!!
Cc. Mbwa mwitu
[emoji107]
Namna hii
 
Kivipi mkuu?! Nahisi sijakuelewa!

Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata kiwe kirefu namna gan hakuna malawama humu

Unataka kiki kwa pikipiki....

Kujaketi je hakujaruhusiwa?

Baelezee vizuri habaelewi bakitu bobote bana

Unataka kiki kama polepole eti? Tena wewe wataka kiki kwa boda boda

Hahahaa!! Unawachokoza wa kabila fulani wewe...

Mara black...!! mara white ...!!vipi

kama hivi

Hahahahahahahaaaaa..


Cheka kwa step usimtemee mate mwenzio..


Mkuu kuna makapuku forum kule ful kujilipua

He, wanajilipua? Ngoja niwahi nikawazuie wasije wakauana aisee...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


Baada ya kupeana lakes saivi ni notification za qoute kwel jf kumebadilika!!
Cc. Mbwa mwitu

[emoji107]

Namna hii




Sijaelewa bado
 
Back
Top Bottom