Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kuna kipindi i wish jf was a planet
Naweza kujitia uchizi ila sijafikia huku
We just choose not to be serious on temporary matters life is temporary and we refuse to take it serious
cc harmorapa aka role model wa harmonize
Hahaha we jamaa rudi kibiti
Ukiwa umepanga kibit alafu mwenye nyumba anakaa sinza unakua na peace of mind hata kodi ikiisha unabadilisha tu line father house hatii mguu
Tukutane milembe university
Tofautisha jf na kibiti after hii ni chit chat stress free zone kula quote hio
Kawa celebrity kwa magrup ya watsapp nadhan atapandishwa cheo punde
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Chaaaa
Haya nakuletea quote
Sijaelewa bado
Numbisaaaa
Nyuzi maalum hazijawah kuniacha salama
Tunaquoteee
Hata kale kalikua kazuri bana
Chaaaa
Haya nakuletea quote
Hahahah kuna uzi maalumu wa fans wa harmorapa pia unaweza ukaunyapia
Full michuano mkuu
Quote mwayo yakinifu
Ujinga hoyeee
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Wa countryyy
Vipi ulitembelewa na pp haujampa maelezo ya kujitosheleza eti
Kusweta pia luxa kasoro mkono wake tu
Hahaha president wa daruso mzee au wasafi ?
2200 muonane pm some niggers knows how to be lucky
Yaaaan nmeota nmekua president[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Like this?Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata kiwe kirefu namna gan hakuna malawama humu