Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi kulaumu ni akili yake kwa muda ule ilifanya maamuzi kulingana na hali,mazoea au hisia fulani either furaha au huzuni.
kutokujua kitu haimaanishi kuwa huna akili ila uwezo wako ni mdogo juu ya jambo hilo hivyo kuna baadhi watakwambia huna akili upo usemi unaosema kutokujua si ujinga.
Akili ndiyo nyenzo kubwa ya binadamu ambayo inacontrol body(mwili) ni kwamba binadamu anasehemu kuu mbili muhimu mwili na akili,mwili ni mtendaji ila akili ni muanzilishi wa jambo.
Dunia kwa sasa imechafuka sana kitu ambacho kinafanya akili zetu zififanye kazi kwa ufanisi zaidi pombe,mziki,mitandao,kamari,elimu,dini,uduni wa maisha,vita N.k.
Akili ya binadamu inacontrol matendo hauwezi kuwa mwizi mpaka akili yako ikubali ushawishi wa kimazingira,mlevi na hata umalaya vyoni ni kazi ya akili,kuna watu wanatembea na kujiona wazima wa akili ila kwa bahati mbaya chizi hajioni(nyani halioni kundule) na uchizi una sampuli nyingi.
Leo nimeleta uzi spesho wenye lengo la kusaidiana kutibu akili zetu ili matendo yetu yaweze kuwa ya kiiungwana na kibinadamu..Imagine mtu ni mzima lakini anadunda mwendo wa kisela as if ni kilema huu ni ugonjwa au sometimes unamuona mtu anajibu shit kwenye uzi wa mwenzake ambaye anataka ushauri wa jambo mtu kama huyu ndiye tunamuhitaji kumshauri zaidi.
KARIBUNI