Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Naamini wote tangazo tuliliona ? Na wote tunajua kusoma na tulilisoma vizuri , nasisitiza tena walimu wa arts geography , Kiswahili , history sijui Economics mlikuwa hamuitajiki hili lazima tuliseme tena tafadhari tusingependa kuona lawama zisizo na msingi ,hapa lazima wote tuelewane asanteni .
 
Vip wa English babu kwa waliomaliza 2018
 
Wangapii leo hiii wanafanyaa ajiraaa lakn ni tofaut na walichosomeaa na wanakulaa mshahara mnono tuuh tofaut na wenzao waliosoma pamoja
 
Unachuki binafsi na hao watu sio kwa kusisitiza hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…