Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

Mimi kama Good Vision nishaona keka lipo tayari, na wenye mhemko wanao subili kwa hamu wengi watachinjwa, maana pressure = no confidence [emoji23][emoji23]
 
Wangapii leo hiii wanafanyaa ajiraaa lakn ni tofaut na walichosomeaa na wanakulaa mshahara mnono tuuh tofaut na wenzao waliosoma pamoja
Yes, that's true.

I know somebody somewhere alisomea PR & ADVERTISING lakini kwa sasa ni LOGISTIC OFFICER in one of reputable International Agency.

Mshahara ni >2.5M
 
Samahan ndg zang, nilifungua akaunt ya AJIRA PORTAL badae nikasahau password yake alaf nmefungua nyingne lkn kila nikiweka namba ya NIDA wananiambia imeshatumika naomba mnisaidie naweza kufanyaje ili kuendelea na akaunti hii mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…