Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
 
Hii ilikua kipindi Cha uchaguzi wa ndani wa chama Cha Chadema,
Picha ilionyesha CCM walikuwa washawachumbia kabuli jamaa tayari kwakuwazika Mara baada ya wao wenyewe kuuan.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744702194841.jpg
    FB_IMG_1744702194841.jpg
    14.3 KB · Views: 45
Baada ya uchaguzi kumalizika , CCM hajafanikiwa kuizika Chadema bas mvua nazo zanyesha kaburi lajaa maji ,

CCM unaendelea kutoa maji yaliyojaa ndani ya kaburi inasubiri kifo Cha Chadema .
 

Attachments

  • FB_IMG_1744711116009.jpg
    FB_IMG_1744711116009.jpg
    27.4 KB · Views: 43
Katiba,
Katiba,
Katiba,
Katiba,

Af baada ya hapo Kuna agenda gani hakuna agenda endelevu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744711558723.jpg
    FB_IMG_1744711558723.jpg
    13.4 KB · Views: 50
  • FB_IMG_1744711558723.jpg
    FB_IMG_1744711558723.jpg
    13.4 KB · Views: 43
Wananchi wamezidiemwa na rundo la matatizo. Ila bado wanaimani na CCM. unaona hapo wameonyesha dole, viatu ninaviraka Hadi kwenye sori.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873458806.jpg
    FB_IMG_1744873458806.jpg
    15.9 KB · Views: 41
Kuiba ishakuwa kawaida kazi ya CAG imekua butu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873600226.jpg
    FB_IMG_1744873600226.jpg
    32.4 KB · Views: 44
Tumeacha wageni wameingikia Hadi masokonyetu ya mtaani.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873681069.jpg
    FB_IMG_1744873681069.jpg
    31.4 KB · Views: 49
Mchina atakimbiza wabongo katiakoo abaki mwenyewe.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873671295.jpg
    FB_IMG_1744873671295.jpg
    42.4 KB · Views: 44
Waziri wa Fedha (Mwigulu) anapoomba msaada kwajili ya NCHI na yeye anakibakuli chake. Anaomna msaada wake binafsi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873687536.jpg
    FB_IMG_1744873687536.jpg
    41.5 KB · Views: 46
Haihitaji kuwataja Marais wa TZ na madeni waliyokopa toka kuwapo kwao Hadi kutoka.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873587357.jpg
    FB_IMG_1744873587357.jpg
    33.7 KB · Views: 53
Namna mchina anavoharibu mzunguko wa pesa na kusababisha fursa nyingi kupotea.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744873621511.jpg
    FB_IMG_1744873621511.jpg
    38.6 KB · Views: 45
FB_IMG_1752756630904.jpg

Kopo ccm mfuniko CHADEMA ,
THIS IS US TANZANIA
 
FB_IMG_1752756665787.jpg

Wao hawachukui fomu ila kazi kuwanyoshea violence wengine wanaochukuwa kuwa ni wabovu.
 
Back
Top Bottom