Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya
Baso wapigaji , wanakula tu pesa za umma. Na wana enjoy sana.
Juhudi za kumuua adui umasikini ndani ya nchi bado hazijazaa matunda
Edit: africa ilivyofanywa dampo na Hawa myamba. (Wazungu)
MR MAJANGA
Namna ambavyo bidhaa za ndani ni nafuu lakini bado hazipewi kipaumbele
Namna tz tumekua na mindset za mkumbo.. hatuna reasoning, tunafata tu mob.
Mtifuano umehama kwa vyama vya upinzani. Sasa upo ndani ya chama kikuu.
Nchi imefika phala PA mpasuko na mgawanyiko.. na kimlima kikali sana mbele Lakini inabidi ivuke ....
Mama anavyowajari wachina (wajasiriamali wa nje na kuwatupa wajasiriamali wa nje.
Faida ya Shirika la ndege la tz ni kama ndege zinatembeq barabarani sawa na daladala.
View attachment 3408878
Wakuu wanakula tu mapochopocho huko ofisini
Hapa namaanisha wazungu kufanya afrika kama dampo yakutupia vitu visivyofaa
Wkigomea mikopo yao sa tutakula nini ??
Unafiki wa wanasiasa kuwakataza wenzo wasichukue form. Na au wasigombee uongozi.
Namna barabara zetu zinavyojengwa kwa viwango vibovu kabisa,,,, huanza kuchakaa hata kabla hazijazinduliw.
Kosi ngumu hii,
Ila hizo Nuala zina rangi ya blue na nyeupe, ndoo Ina rangi nyekundu kwa mbali .
Hayo matundu yanaonyesha namna CHADEMA WANAHUJUMIWA. ...