Uzi maalumu wa kutafuta Like(s) ya M. Melo. Andika chochote chenye mantiki juu yake akupe like.

Uzi maalumu wa kutafuta Like(s) ya M. Melo. Andika chochote chenye mantiki juu yake akupe like.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Naaaaaaam

Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini.

Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana.

Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like kiurahiiiiisi kabisa.

Unachotakiwa kufanya ni kuandika chochote kizuri unachokiona juu yake au kama kuna weakness juu yake unayoiona, ielezee kwa busara.

Naamini tukieleza kwa busara ya hali ya juu, Max siyo mtu wa kupuuza busara, ni lazima akupe like.

Twende kazi
 
Back
Top Bottom