Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Teteee!Ni mama yako ndio anakuzuia usije kuona ndugu zako?
Aliniambia Nina kiburi kama mamangu!Wewe mwenyewe mbona hutuambii Shangazi yako alikufanyaje?
😅😅Aliniambia Nina kiburi kama mamangu!
Asilimia 80 ya shangazi Huwa ni wachawiWadau hamjamboni nyote?
Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani?
Karibu utupe uzoefu
Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
Zingatia kwamba mama yako pia ni shangazi kwa watoto wa kaka yake.Asilimia 80 ya shangazi Huwa ni wachawi