ndugu wana jf wanasiasa wetu wanatuambia kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu toka awamu ya tano imeingia madarakani viwanda 3000+ vimejengwa
Naomba tutumie uzi huu kuvitaja popote ulipo hata kiwanda kimoja kwenye wilaya unayoishi ambacho kimejengwa ndani ya miaka mitatu
Mfano
Kiwanda cha kutengeneza kope za macho kimejengwa hapa kwetu namanyere mwaka 2017 kimeajiri watu 560
Hii itasaidia kuwakata kidomodomo wale wote vinzabinzabina wanaokataa maendeleo yetu yaliyoletwa na chama chetu pendwa cha ccm
Karibuni wadau tujuzane maviwanda yetu!!